Mkuu wa Mkoa DSM wa Paul Makonda anazungumza na Mkuu wa Wilaya mpya wa Temeke Gondwe pamoja na DC mstaafu TMK Felix Lyaniva “Kaka huku ulipokuja kuna idadi kubwa zaidi ya watu, kama kule Handeni ulikuwa unapokea Simu tatu kwa siku basi huku utapokea zaidi nina imani kubwa na wewe”.
“Felix Lyaniva ulikuwa mtu mwema sana najua watu wa temeke wata-kumisi kama kustaafu basi umestaafu vizuri sababu umeacha mafaniko mengi TMK” Makonda