Nchini Uingereza mjini Liverpool leo kulikuwa mchezo wa wapinzani wa jadi kati ya majogoo wa jiji Liverpool dhidi ya Everton.
Wakiwa hawajawahi kushinda katika uwanja wa Anfield katika kipindi cha miaka 15 – Everton walijitupa katika uwanja wa wapinzani wao wakiwa na nia ya kuvunja rekodi mbovu waliyonayo kwenye uwanja huo, lakini alikuwa nahodha Steven Gerrard katika dakika ya 65 aliandikia timu ya Liverpool goli la kwanza kwa mkwaju wa faulo.
Huku dakika zikiwa zinayoyoma na mashabiki wa Liverpool wakia wamejiwekea uhakika wa kutamba mbele ya wapinzani wao, katika dakika ya 92 mlinzi wa kimataifa wa England Phil Jagielka alifumua shuti kali lilojaa kimiani na kuisawazishia Everton.
Timu zilipangwa hivi
Liverpool (4-2-3-1): Mignolet 5.5; Manquillo 7, Skrtel 7.5, Lovren 7, Moreno 7.5; Gerrard 8, Henderson 8.5; Sterling 8, Lallana 7.5, Markovic 5 (Coutinho 60); Balotelli 6 (Lambert 88)
Subs not used: Jones (GK), Enrique, Toure, Lambert, Coutinho, Lucas, Suso
Manager: Brendan Rodgers 7.5
Goal: Gerrard 64
Booked: Gerrard, Moreno
Everton (4-3-3): Howard 5.5; Hibbert 5.5 (Browning ’73), Stones 7, Jagielka 8, Baines 6.5; McCarthy 7, Barry 5.5, Besic 7 (Eto’o ’80); Lukaku 5, Naismith 6, Mirallas 6 (McGeady ’31)
Subs not used: Robles (GK), Gibson, Osman, Alcaraz
Manager: Roberto Martinez 6.5
Goal: Jagielka 90+1
Booked: Barry