Waziri wa ArdhiWilliam Lukuviametangaza tathmini ya fidia ya shilingi Million 500 atakayolipwa Bibi Nasi Muruo mwenye umri wa miaka 98 baada ya kudai ardhi yake ya zaidi ya Hekari nane baada ya kushinda kesi yake tangu mwaka 1979.