Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wamezungumza na kubainisha kugundulika kwa makaburi matano ya pamoja huko mkoani Ituri, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Inaripotiwa kuwa zaidi ya watu 260 kati yao 91 wakiwa wanawake, wameuawa tangu mwezi December 2017 na makaburi hayo yanahusishwa na vifo hivyo na hii ni kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa.
Mdogo wa Mbunge John Heche asababishiwa kifo kwa kuchomwa kisu
Hofu inaendelea kutokana na uwepo wa machafuko nchini humo pamoja na mapigano kati ya wafugaji wa Hema na wakulima wa Lendu yanayosababishwa na kugombania ardhi.
Hatahivyo mamlaka husika imekana kuwepo kwa makaburi hayo.
ABBAS KANDORO AMEFARIKI, ALIKUWA RC DSM, MBEYA