Leo katika Kisanga cha Zuch Zuchero katoka chini na M-Koba hadi juu ya ghorofa kwa ajili ya kuzungumza na Watanzania akiwa na swali lake matata kuhusu watu waliopo katika mahusiano ya kimapenzi.
“ Ukiwa umekaa miezi mitatu hujashika simu ya Mpenzi wako, kisha ikatokea umechukua simu yake na ukajipiga picha na kutaka kujitumia ukakuta jina lako limeandikwa Kuku Kinondoni utafanyaje…?