Luis Suarez hataungana na wachezaji wenzake wa zamani wa Barcelona Jordi Alba, Sergio Busquets na Lionel Messi katika Inter Miami, angalau msimu huu baada ya mazungumzo kukatishwa.
Fowadi huyo wa Uruguay ambaye kwa sasa ana kandarasi na Gremio huko Porto Alegre, Brazil, amekuwa akihusishwa pakubwa na kuunganishwa tena katika Ligi Kuu ya Soka katika wiki za hivi karibuni.
Hata hivyo kocha wa Gremio Renato Portaluppi amethibitisha kuwa Suarez atasalia Brazil kwa muda wa miezi sita ijayo angalau.
Fabrizio alitoa taarifa hizo kupitia ukurasa wake akisema ;”Mkataba hautafanyika.
[“The deal won’t happen. Luis will stay at Gremio until December, the soap opera is over now”, Gremio coach Portaluppi confirms.]
Tazama pia;MGANGA WA JADI TAJIRI ALIYETEKWA NIGERIA, POLISI WATOA TAARIFA “ANA HIRIZI ZA KUZUIA RISASI”.