Jumatatu ya July 10 2017 mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji aliyekuwa anaichezea Everton Romelu Lukaku alitangazwa rasmi kujiunga na Man United kwa mkataba wa miaka mitano baada ya Man United kufanikiwa kulipa ada ya uhamisho inayotajwa kufikia pound milioni 75.
Siku kadhaa kabla ya Lukaku kutangazwa kujiunga na Man United alionekana kuwa na mahusiano mazuri na Paul Pogba wa Man United na walikuwa wanakula good time wote wakiwa Los Angeles Marekani, baada ya kujiunga rasmi na Man United Pogba alimfanyia interview Lukaku na kumkaribisha.
Pogba: Kwanza Romelu Lukaku hongera kwa kusaini Man United unajisikiaje?
Lukaku: Najisikia furaha na nina hamu ya kuanza kuitumikia
Paul Pogba alivyomfanyia interview Romelu Lukaku baada ya kujiunga na ManUnited akitokea Everton #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/hacPK1Jb6p
— millard ayo (@millardayo) July 11, 2017
VIDEO: All Goals Taifa Stars vs Lesotho June 10 2017, Full Time 1-1