Wagombea Ubunge wa Majimbo ya Chamwino na Mtera yaliyopo Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Deo Ndejembi wa Chamwino na Livingstone Lusinde ‘Kibajaji’ wa Mvumi wamerudisha fomu za Ubunge kwa Msimamizi wa Uchaguzi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, Athuman Masasi.