Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Mohammed Kawaida amehitimisha ziara yake Mkoani KAGERA ya kukagua na kutembelea vijana wanaonufaika na mafunzo ya mradi wa jenga kesho iliyo bora ulioanzishwa na Rais Samia kwa ajili ya Kuwasidia Vijana Nchini
Kupitia ziara hiyo anaeleza mpango wa Rais kuhakikisha wanawakwamua vijana kiuchumi.