Mwamu Lameck mume wa Monica Daudi dada aliyejifungua Watoto watano wakiwa hawajatimiza umri wa kuzaliwa (miezi mitano) Wilaya ya Nzega Mkoa wa Tabora amezungumza na AyoTV kuhusu alivyopokea taarifa yeye na familia yake baada ya watoto kufariki.