Saa chache baada ya shambulizi la Marekani nchini Syria katika kambi ya jeshi ya Tomahawk, bei ya mafuta duniani imepanda kwa zaidi ya 2%, bei imetajwa kuongezeka hadi kufikia dola kwa galoni badala ya dola 55.70 ya awali huku thamani ya dola ikishuka kwa 0.5 kwenye baadhi ya masoko ya fedha.
Taarifa iliyochapishwa kwenye BBC World News ni kuwa bei ya mafuta imepanda duniani ndani ya saa 24 baada ya Marekani kuishambulia kambi hiyo na kuzifanya nchi zinazozalisha mafuta kusitisha zoezi la kusafirisha bidhaa hiyo kwa hofu ya machafuko.
Shambulio hili linakuwa la kwanza kufanywa na Donald Trump tangu achaguliwe kuwa Rais wa Marekani November 2016
VIDEO:Ulipitwa na hii ya mbunge Kangi kuhusu Mbowe kulitukana bunge ,Bonyeza play kutazama
BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo