Uongozi wa Bandari ya DSM umefanya semina ya siku moja kwa Viongozi wa Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Tabora yenye lengo la kuhakiki usalama wa mizigo inayopita nchini kuelekea nchi jirani inapita kwa usalama.
Akifungua semina hiyo Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa ameziagiza Kamati za Ulinzi na Usalama za Mkoa kuhakiki usalama wa mizigo “Semina hii inatukumbusha tuwe tunashtuka shtuka na tuhakikishe tunashare information na watu wa bandari”.
NAIBU WAZIRI APIGA MAGOTI AKIOMBA BARABARA “ITACHACHA NA HAITALIKA HAWATANIELEWA”