Boti ndogo inayofanya safari zake kutoka Bandari ya Kemondo iliyopo Wilaya ya Bukoba kuelekea Kisiwa cha Bumbile kilichopo ndani ya Ziwa Victoria ikiwa na abiria 56 imewaka moto ikiwa ndani ya maji, Kamanda wa Polisi na Mkuu wa Mkoa Kagera wameongea.
ALIYENUSURIKA KWENYE AJALI YA BOTI ASIMULIA”TUMEJITOSA MAJINI”