Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ameagiza Tanesco kukata umeme katika ofisi za Halmashauri ya Hai badala ya soko kuu la Hai. Nishati hiyo ilikatwa katika soko hilo kutokana na halmashauri kutolipa ankara ya umeme.
Katika Ofisi za Halmashauri ndipo zilipo Ofisi za Mkuu wa Wilaya huyo na ameitaka TANESCO baada ya kukata katika Ofisi hizo wakawashe umeme kwenye soko hilo.
VIKWAZO KODI ZA MIPAKANI VYAONDOLEWA, “SI RUSHWA YA PESA TU! HATA YA NGONO IPO”