Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig.Gen. Emmanuel Maganga amesitisha mkataba wa Mkandarasi wa maji katika Kijiji cha Kilelema aliyeshindwa kuanza kazi na hivyo kukwamisha adhma ya Serikali ya kumtua mama ndoo kichwani.
Wakielezea kwa nyakati tofauti wananchi wa Kijiji cha Kilelema Wilayani Buhigwe wamesema wanapata adha kubwa ya maji ikiwemo umbali mrefu kuyafuata maji, usalama wa maji ambapo ni machafu.
MWANRI, RPC, DC WAWASHA MOTO “OPERESHENI FUKUA FUKUA, PIGA BANGILI SUKUMA NDANI”