Wananchi wa Kata ya Mwanga Kusini Manispaa ya Kigoma Ujiji wameiomba Serikali kuwasaidia ulinzi kufuatia kuwepo kwa vitendo vya ubakaji hasa nyakati za usiku vinavyoendeshwa na kikundi cha watu wanaojiita teleza.
Kikundi hicho kimekuwa kikitekeleza vitendo hivyo vya kihalifu kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo ya kujipaka mafuta machafu pamoja na oil mwili mzima ili wasikamatwe kwa urahisi.
LIVE MAGAZETI: Kesi ya Rais, Lazima ulie, Sheikh atekwa, JPM kikao kizito na MA-RC