Leo September 30, 2019 Jumuiya ya Mabalozi wa Afrika nchini China imefanya hafla ya kumpongeza Dk. Salim Ahmed Salim jijini Beijing.
Kiongozi wa Mabalozi wa Afrika ambaye pia ni Balozi wa Cameroon Mhe Martin Mpana ameeleza kwamba tuzo aliyopatiwa Dk. Salim ni heshima kwa Bara la Afrika