Leo September 18, 2018 Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dr. Maulid Madeni ameendelea kupitia katika maduka akikusanya kodi ambapo akiwa sokoni aliaamuru Mfanyabiashara afungwe pingu na askari.
Dr. Madeni amesema Diwani wa CCM, Makoye anadaiwa zaidi ya Milioni 80 na amemtaka afahamu serikali ya Magufuli ni tofauti na ya Kikwete.
Msigwa, Sugu walivyolia rafu “Wamebaka angalau CCM ya nyuma walitumia akili kuiba”