Kumekuwa na maneno mengi kupitia mitandao ya kijamii juu ya Afisa Habari wa Klabu Simba Haji Manara kuwa ataondolewa katika nafasi hiyo, leo Manara ameandika “Asanteni Sana Wanasimba wote hususan Bodi ya Wakurugenzi chini ya Mwenyekiti wetu Mohammed Dewji”
“Lakini kubwa kwa CEO wetu mpya Mr Senzo kwa kuendelea kuniamini kufanya kazi ktk Klabu hii kama Msemaji wao rasmi,Insha’Allah ntaendelea kufanya kazi hapa kwa spirit ile ile” Manara
BREAKING: NDEGE YAANGUKA WATANZANIA WAWILI WAFARIKI PAPO HAPO