Leo April 24 2018 Haki ya Elimu wametoa tathmini ya maeneo yanayopaswa kupewa kipaumbele katika bajeti ya sekta ya elimu kwa mwaka wa fedha 2018/19.
Mkurugenzi Mtendaji wa Haki Elimu Dk. John Kalage amepata nafasi ya kuzungumza na waandishi wa habari na kutoa mapendekezo hayo