Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Basila mwanukuzi amesema kuwa kutumia makundi mbalimbali ya Sanaa na utamaduni kuhamasisha kampeni mbalimbali kuandaa umma kunapaswa kuunga mkono kwa ajili ya maendeleo ya nchi
Mwanukuzi aliyasema hayo wakati akiwapongeza na kuwatunza kwa washindi wa singeli bongofleva kwaya Ngoma mashairi na vichekesho walioshiriki uhamasishaji wa sensa 2022 wilaya hapo
Washiriki walipatiwa shilingi milioni moja Kila mmoja na kuwataka wananchi kujitokeza wananchi kushiriki kwenye sensa na makazi.