June 14, 2020 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwaniaba ya Serikali amekabidhiwa rasmi shule ya Sekondari ya Wasichana iliyojengwa na umoja wa Wabunge wanawake kwakushirikiana na wadau mbalimbali na kupewa jina la Bunge High School iliyopo Kikombo mkoani Dodoma.
Makabidhiano hayo rasmi ya kutoka kwa Bunge yamewakilishwa na Spika Job Ndugai.