Hamis Lugonda ni mlemavu anayeishi Mkoani Tabora Wilayani Nzega anayefanya kazi ya kilimo pamoja na kucheza mziki wa asili, lakini kutokana na hali yake ya ulemavu aliozaliwa nao ameamua kujikita kwenye Kilimo.
Hamis anasema ana mtoto mmoja, Mkewe alimkimbia kutokana na hali yake aliyonayo na ana Ekari thelatini na analima mwenyewe.
TRA FUTILIA MBALI MAWAKALA WA EFDs “MIEZI MITATU HAWAJANIPA MASHINE”