Tukio la kustaajabisha ambalo limetokea Arusha ni la ng’ombe ambaye amezaa ndama mwenye midomo mitatu macho matatu, Mfugaji wa ng’ombe huyo Elizabeth Mungasi amesema tukio hilo amelipokea vizuri japokuwa watu wanaongea sana ila anampenda sana ndama huyo na anamuombea Mungu aishi.
“Tukio hili nimelipokea tu vizuri, huyo ndama sio mimi nimemuumba ni Mungu ndio kamuumba na watu wanaongea sana maneno mengi” Mama Mungas