Mbunge wa Tarime mjini Esther Matiko mbele ya wananchi ametoa machozi akiwashukuru kwa kumuamini kwa miaka mitano kumpa nafasi ya kuwasemea Bungeni.
“Pamoja na yote ila sikuingia kwenye mtego wa kuwasaliti watu wangu wa Tarime na Taifa kwa ujumla” Esther Matiko