Nchini Kenya, Madaktari wanatarajiwa kuandamana jijini Nairobi hivi leo, kuishinikiza serikali kutekeleza makubaliano ya kuwaongezea mshahara na kuwaboreshea mazingira ya kazi, baada ya mgomo walioufanya mwezi Mei.
Hatua hii inakuja, kuelekea mgomo wa kitaifa, ya Madaktari yaliyopangwa kuanza tarehe 22.
Baadhi ya hospitali za umma zitashuhudia shughuli zao zikipungua leo Jumatatu nchini Kenya, kutokana na mgomo wa kitaifa wa madaktari wakitaka mazingira bora ya kazi na nyongeza ya mishahara.
Madaktari wanaogoma bado wanashutumu serikali leo kwa kutotimiza baadhi ya ahadi zilizotolewa katika makubaliano ambayo yalifuatia maandamano mapema mwaka huu hii ni kulingana naRFI