Ofisa mpya Mwandamizi wa LATRA Mkoa wa Arusha Joseph Maiko ameingia ofisini Rasmi kuchukua nafasi ya Amani Mwakalebela, huku akikutana na mgomo wa madereva.
Akiongea na vyombo vya habari , amewataka wamiliki wa daladala katika jiji la Arusha, kusitisha mgomo wao mara moja na kurejesha usafirishaji kwa kuwa mamlaka hiyo imeanza kutekeleza maoni ya kamati iliyoundwa na mkuu wa mkoa.
Ameomgesa iwapo daladala zitaendelea na msimamo wakutotii mamlaka ya kuwataka wasitishe mgono mara moja,LATRA itafuta leseni zao mara moja kama sheria inavyotaka.