Wakati serikali ikisubiri kuanzishwa kwa mahakama ya mafisadi Tanzania itakapofika July 2016, June 30 2016 Waziri mkuu Kassim Majaliwa akiwa bungeni Dodoma ametoa faida kuu sita za kuanzishwa kwa mahakama hiyo ambazo watanzania wote wanatakiwa kuzijua.
- Mashauri ya rushwa na ufisadi yatasikilizwa kwa haraka zaidi
- Majaji watakaosikiliza mashauri watakuwa na upana wa uelewa kuhusiana na mambo ya ufisadi
- Utaimarisha zaidi taaasisi zinazopambana na rushwa
- Itawafanya watu waliozoea rushwa na ufisadi kuwa na hofu
- Kuwahamasisha watoa taarifa za rushwa na ufisadi kuwa na ulinzi na usalama pindi wanapotoa taarifa
- Kuhamasisha wafanyabiashara kulipa kodi
ULIMISS HII YA CCTV ZA BUNGE ZILIVYONASA TUKIO LA MBUNGE GOODLUCK KUVULIWA ‘BARAGHASHIA’
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE