Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini.
Moja ya stori ambayo imeandikwa June 17 2016 kwenye gazeti la Mwananchi ni hii yenye kichwa cha habari ‘wahitimu wa vyuo vikuu ‘kuula’ China’
#MWANANCHI Zaidi ya wahitimu 5000 kutoka vyuo vikuu wanatarajiwa kuajiriwa ktk kampuni za kichina zilizopo China pic.twitter.com/IVe6h36gX5
— millardayo (@millardayo) June 17, 2016
Gazeti hilo limeripoti kuwa zaidi ya wahitimu 5000 kutoka vyuo vikuu wanatarajiwa kuajiriwa katika kampuni za Kichina zilizopo nchini China. Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) (Taaluma), Profesa Frolence Luoga alisema chuo hicho na Taasisi ya China ya Confucius, watafanya maonyesho yatakayoenda sambamba na mchujo wa vijana wanaofaa kwa ajiri ya ajira hizo.
Kupitia Gazeti hilo Profesa Luoga alisema katika maonyesho hayo yatakayofanyika kuanzia Juni 18 hadi 19 yatashirikisha zaidi ya Kampuni 100 za China zinazofanya shughuli zake nchini.
Luoga alifafanua kuwa katika maonyesho hayo wahitimu wanatarajia kujadiliana masuala mbalimbali kuhusu vianda na uchumi, ikiwa ni njia ya kutambua ajira zilizopo.
Aidha gazeti hilo limezungumza na Mtaalamu wa lugha ya Kiswahili wa UDSM, Prof. Aldin Mtembei ambapo amesema wahitimu watakaoshiriki ni kutoka vyuo vyote vya elimu ya juu.
Prof. Mtembei alisema siku ya maonyesho hayo wahitimu hao wanatakiwa kwenda na nakala za wasifu wao (CV), picha na vyeti vinavyoonyesha matokeo yao ya mitihani ili wakiingia kwenye majadiliano na waajiri iwe rahisi kuhakiki sifa zao.
Unaweza kuzitazama habari nyingine kubwa kwenye magazeti ya leo hapa chini
#MWANANCHI Maandalizi ya CCM kumkabidhi JPM uenyekiti yataanza kesho ktk kikao cha kamati kuu Dar es salaam pic.twitter.com/9X5r5BlhS6
— millardayo (@millardayo) June 17, 2016
#MWANANCHI Polisi wapiga kambi nyumbani kwa Gwajima ni baada ya kusambaa sauti inayodhaniwa yake ikimsema vibaya JK pic.twitter.com/jBIY7KxvNM
— millardayo (@millardayo) June 17, 2016
#MWANANCHI UKAWA wasusa futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu ikiwa ni mwendelezo wa 'kumkacha' Dk. Tulia pic.twitter.com/AjR2Pr9JYq
— millardayo (@millardayo) June 17, 2016
#MWANANCHI Mtoto miaka 9 aichambua SMG mbele ya Kamanda Sirro na kuwastaajabisha kwa uwezo wa kuichambua silaha hiyo pic.twitter.com/eD2THZjjhw
— millardayo (@millardayo) June 17, 2016
#NIPASHE Serikali iko ktk mpango wa kukifanya kiswahili kitumike mikutano ya kimataifa ikiwamo kupeleka wakalimani pic.twitter.com/Xbjtt2HMCE
— millardayo (@millardayo) June 17, 2016
#MWANANCHI Imeelezwa kuwa nusu ya bidhaa mbalimbali zinazotumika nchini zikiwamo dawa za binadamu ni feki pic.twitter.com/qcIt1yzfm0
— millardayo (@millardayo) June 17, 2016
#MWANANCHI Afa maji akijaribu kuopoa simu yake ya mkononi iliyokuwa imezama ziwa victoria pic.twitter.com/shf0cSN1Ae
— millardayo (@millardayo) June 17, 2016
#MWANANCHI Watoto wawili familia moja Simanjiro wamefariki baada ya kula maandazi yanayodaiwa kuwa sumu pic.twitter.com/rpyzw0yrpH
— millardayo (@millardayo) June 17, 2016
#JamboLEO Wapinzani wamesema iwapo PAC itawasilisha ripoti ya Lugumi watarejea hata kama Naibu Spika atakalia kiti pic.twitter.com/Neeu8xWxti
— millardayo (@millardayo) June 17, 2016
#JamboLEO Maalim Seif asisitiza Serikali ya mpito Z'bar kwani ni njia sahihi kuelekea uchaguzi huru wa kidemokrasia pic.twitter.com/KZKT6DrlXE
— millardayo (@millardayo) June 17, 2016
#JamboLEO Mangula asema CCM ilifanya makosa kudai kufanya mikutano ya hadhara jino kwa jino kujibu ile ya wapinzani pic.twitter.com/QX5bfkViKA
— millardayo (@millardayo) June 17, 2016
#MTANZANIA Mikoa maskini yavuruga wabunge, wapinga mikoa yao kuonekana tajiri kinadharia wakati wananchi ni maskini pic.twitter.com/ZY2pfKoOom
— millardayo (@millardayo) June 17, 2016
#HabariLEO Mafundi simu watakaohusika ktk kuharibu mfumo wa rajisi za utambulisho ktk simu kubanwa pic.twitter.com/bSDATdBKis
— millardayo (@millardayo) June 17, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI JUNE 17 2016 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
https://www.youtube.com/watch?v=FHDI6HYJS3w
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE