Serikali imefuta usajili wa Magazeti 473 kupitia tangazo lililochapishwa katika gazeti la serikali lenye namba 195 ambapo sababu za kufutwa usajili huo ni kutochapishwa kwa muda wa miaka mitatu mfululizo.
Magazeti hayo hayataruhusiwa kuchapishwa au kusambazwa kwa njia ya nakala ngumu au kielektroniki na ikiwa mmiliki wa gazeti lililofutiwa usajili angependa kuendelea na biashara milango iko wazi kwa ajili ya kuwasilisha maombi mapya ya usajili kwa kufuata taratibu zilizopo.
Unaweza kuangalia video hii hapa chini
ULIKOSA HII YA JPM KUHOJI KAMA KUNA UBAYA WA WAKURUGENZI KWENDA NA VYETI KWENYE KIAPO? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI