Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#MWANANCHI Waziri Tizeba amzidi kete Waziri mkuu Majaliwa baada ya kutangaza ofisi yake itahamia Dodoma wiki ijayo pic.twitter.com/h8YnIP3yMY
— millardayo (@millardayo) July 27, 2016
#MWANANCHI Mtuhumiwa wizi mil 7 kwa dakika asomewa mashtaka 222 na kufanya akabiliwe na mashtaka yanayokaribia 400 pic.twitter.com/5VQzcPXLhK
— millardayo (@millardayo) July 27, 2016
#NIPASHE Agizo la JPM kupunguza mishahara mikubwa inayozidi mil 15 kwa mwezi litaanza kutekelezwa wiki hii pic.twitter.com/5wJPAQKl0d
— millardayo (@millardayo) July 27, 2016
#NIPASHE Serikali imeanzisha mfumo mpya wa utambuzi taarifa za wananchi kuanzia ngazi ya mtaa kwa kutumia Kompyuta pic.twitter.com/MUWhlInQ1C
— millardayo (@millardayo) July 27, 2016
#NIPASHE Polisi Dar yampania aliyeua mwenzao, yasema haitasita kumchukulia hatua hata kama yupo ndani ya jeshi hilo pic.twitter.com/LjIt46DHmD
— millardayo (@millardayo) July 27, 2016
#NIPASHE Ruhusa ya mtoto aliyewekewa betri kwenye moyo imezuiwa kwa wiki mbili zaidi ili kuendelea na uchunguzi pic.twitter.com/mv4OaXlAJL
— millardayo (@millardayo) July 27, 2016
#NIPASHE Wabunge CCM Pwani wamepanga kujenga mnara wa kumuenzi JK kwa kazi kubwa ya kulitumikia Taifa na chama hicho pic.twitter.com/Ksjox9PUZh
— millardayo (@millardayo) July 27, 2016
#MTANZANIA CHADEMA inatarajia kulihutubia taifa kuhusu maazimio ya kamati kuu iliyoketi kwa siku nne mfululizo pic.twitter.com/uqkrGqhjVO
— millardayo (@millardayo) July 27, 2016
#MTANZANIA Polisi Kilimanjaro inawashikilia watu 15 kwa tuhuma za ujambazi wakiwamo wawili waliokuwa askari polisi pic.twitter.com/XITPpKxsTd
— millardayo (@millardayo) July 27, 2016
#MTANZANIA Kamshna TRA, John Kidata ameagiza zoezi la uhakiki wa vyeti vya taaluma kwenye mamlaka hiyo kuanza upya pic.twitter.com/lo9gD1ETDw
— millardayo (@millardayo) July 27, 2016
#HabariLEO Serikali kupeleka bungeni muswada wa kuitambua Dodoma kama makao makuu ya nchi ili ithibitishwe kisheria pic.twitter.com/OmA47WIaST
— millardayo (@millardayo) July 27, 2016
#HabariLEO TRA imeanzisha operesheni ya kudai risiti za EFD kutoka kwa wananchi wanaofanya manunuzi mbalimbali pic.twitter.com/ELS16pOBGQ
— millardayo (@millardayo) July 27, 2016
#HabariLEO Serikali imezima simu feki mil 1.82 na inaendelea kudhibiti matumizi ya simu hizo kila siku pic.twitter.com/qKw8wGZnRV
— millardayo (@millardayo) July 27, 2016
#HabariLEO TCU imekanusha taarifa zinazosambazwa kuwa tume hiyo imevisimamisha vyuo vikuu 22 kufanya udahili pic.twitter.com/PbyraOjeli
— millardayo (@millardayo) July 27, 2016
#HabariLEO Serikali kutoa maamuzi muda siyo mrefu juu ya tozo daraja la Nyerere baada ya malalamiko ya gharama kubwa pic.twitter.com/qPpdOpTlnQ
— millardayo (@millardayo) July 27, 2016
#JamboLEO Serikali inajipanga kuweka mazingira mazuri ya kuhakikisha wananchi wanapata na kutumia simu kwa bei nafuu pic.twitter.com/GJ2OQgSlM0
— millardayo (@millardayo) July 27, 2016
#JamboLEO Kikongwe (85) Arumeru amefariki akidaiwa kubakwa na kisha kutelekezwa shambani pic.twitter.com/5PiehgQWV3
— millardayo (@millardayo) July 27, 2016
#JamboLEO Mahakama kuu Iringa leo inatarajia kutoa hukumu ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari, Daudi Mwangosi pic.twitter.com/XfTav8RiG7
— millardayo (@millardayo) July 27, 2016
#JamboLEO RC Makonda abaini ubadhirifu Machinga Complex, lajengwa vyumba 4200 badala 10000 bil 2 hazijulikani ziliko pic.twitter.com/hBs1O388U2
— millardayo (@millardayo) July 27, 2016
#JamboLEO CWT imesema inaidai Serikali bil 300 ikiwa ni pamoja na malimbikizo ya mishahara pic.twitter.com/v0apNn7CKo
— millardayo (@millardayo) July 27, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI JULY 27 2016 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI