Baada ya kumalizana na gwiji Cristiano Ronaldo kwenye rekodi ya mabao turudi kwa Harry Kane ambapo yeye naye anasema shabaha yake inayofuata ni kufikisha mabao 100 baada ya kucheza mechi yake ya 100 England.
“Mabao yalikuwa sawa. Nilihisi nina mabao 30 kisha nikafunga 50 na 60.
“Hakika ipo na inawezekana kabisa. Ninahisi kama niko mahali pazuri na haya ni malengo mazuri ya kujaribu kuwafikia.
“Baadhi ya watu wanaweza kuziona kama zisizo za kweli lakini ningependelea kufanya jambo lisilo la kweli na sio kulifanya badala ya kustarehe kwa kusema nitafurahiya mabao 70 au 80.”