Kama kuna stori kubwa hujaipata leo, unaweza kupitia Tweets hizi hapa kutoka Magazetini Tanzania mtu wangu, zote zenye stori kubwa huwa nazisogeza Twitter kwenye account ya @millardayo kila siku, za leo 10 kubwa hizi hapa.
#NIPASHE CAG ametoa ripoti yake ambayo imeonyesha madudu makubwa kwenye Serikali Kuu na mashirika ya Umma pic.twitter.com/eZoH4bh77k
— millardayo (@millardayo) April 26, 2016
#MWANANCHI Ripoti ya CAG 2014/15 yazigusa taasisi zilizoongozwa na Rais Magufuli, Dk Asha-Rose Migiro, Ndalichako pic.twitter.com/GPybZXQZZt
— millardayo (@millardayo) April 26, 2016
Deni la Taifa limeongezeka kwa trilioni 7.05 kutoka trilioni 26.49 2014 hadi trilioni 33.54 sawa na ongezeko la 27% pic.twitter.com/KE20x6E8aK
— millardayo (@millardayo) April 26, 2016
#MWANANCHI Uhasama wa kisiasa wakwamisha maziko Pemba, wazikaji watunishiana msuli kuzuia msikiti usitumike pic.twitter.com/SqGS25Gl4M
— millardayo (@millardayo) April 26, 2016
#NIPASHE Zitto ameibuka na kusema bado Rais hajagusa kansa ya ufisadi na badala yake anachokifanya ni kupapasa tu pic.twitter.com/6jQT48QSUS
— millardayo (@millardayo) April 26, 2016
#MWANANCHI Mapato Karatu yaongezeka na kufikia bil 2.1 kwa mwaka, watalii wanaopita kwenda Ngorongoro wachangia pic.twitter.com/gx0p8DKrvn
— millardayo (@millardayo) April 26, 2016
#MWANANCHI Vifaatiba hospitali ya Geita vimekosa wataalamu wa kuvitumia kutokana na kutokuwapo kwa madaktari Bingwa pic.twitter.com/eHz71rhDRN
— millardayo (@millardayo) April 26, 2016
#MWANANCHI Wachimba dhahabu wadogo Geita wameiomba Serikali kuwasaidia ili waache kutumia Kemikali zenye madhara pic.twitter.com/SGx11oJ9rE
— millardayo (@millardayo) April 26, 2016
#NIPASHE CAG amebainisha kuwa risiti za malipo kiasi cha bil 18 hazikuambatanishwa kwa serikali kuu pic.twitter.com/NrkR3a7Ftm
— millardayo (@millardayo) April 26, 2016
#MTANZANIA Watu watatu K'njaro wamekamatwa wakisafirisha mirungi kwa kuifunga kama mabomu kwenye miili yao pic.twitter.com/96hGiqk65v
— millardayo (@millardayo) April 26, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE
ULIIKOSA HII YA ZITTO KABWE KUHUSU UTUMBUAJI MAJIPU NA BUNGE KURUSHWA LIVE? ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI