Rais Mstaafu awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi leo July 11, 2020 ametaka Rais Magufuli aongoze mpaka dunia ikiisha “Nchi yetu inaendeshwa kwa Katiba na lazima tuienzi, lakini twaweza tukitaka kuiahirisha kwa muda mfupi ili kumpa Rais Magufuli kipindi kingine kimoja cha Asante kisha baadaye tuendelee vilevile mpaka Dunia iishe, kwasababu kuna mengi aliyonayo na Nchi itayakosa” .