Rais John Magufuli amempongeza Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi kwa kutovaa barakoa alipokuwa katika mkutano wa kusaini Mkataba wa kujenga Reli ya kisasa
Amesema, Tanzania ni salama na katika kuthibitisha hilo, alikwenda kumpa mkono kabla ya kwenda kupiga picha ya pamoja na kupata chakula cha mchana
“Nampongeza sana Waziri Wang Yi kwasababu hajavaa barakoa maana anajua Tanzania hakuna Corona na kwa kumuhakikishia nakwenda kumshika mkono tukale chakula” Magufuli