Rais Dkt John Magufuli yupo Kagera kwa ajili ya ziara mkoani humo ambapo Leo January 02 2016 Rais Dkt. John Magufuli amezungumza na wananchi wa Kagera na amegusia mambo mbalimbali ikiwemo maafa ya tetemeko la ardhi yaliyotokea Kagera, Hizi ni baadhi ya kauli alizozitoa…
'Ninafahamu mwaka jana kulitokea tetemeko, baada ya kupata taarifa nilimtuma waziri mkuu na mawaziri karibu sita'-Rais Magufuli #ZiaraKAGERA pic.twitter.com/yodN6LDrxu
— millardayo (@millardayo) January 2, 2017
'Natangaza kuwa ile shule ya Mwani ambayo iko chini ya Jumuiya ya wazazi CCM itakuwa ya Serikali';-Rais Magufuli #ZiaraKAGERA pic.twitter.com/MXEMb5O51g
— millardayo (@millardayo) January 2, 2017
'Bil 6 tulizozipata za Uingereza tuliamua zitumike kujenga shule ya Ihungo ambayo itajengwa kwa kiwango cha kisasa'-JPM #ZiaraKAGERA
— millardayo (@millardayo) January 2, 2017
'Ukarabati uliofanyika Mwani nimeambiwa zimetumika mil 116, nimecheki orodha niliyonayo zimeshatumika mil 174.8';-JPM #ZiaraKAGERA
— millardayo (@millardayo) January 2, 2017
'Nataka fedha zilizotolewa kwa ajili ya michango ya tetemeko Kagera zitumike kikamilifu zisiende kwenye mifuko ya watu'-JPM #ZiaraKAGERA
— millardayo (@millardayo) January 2, 2017
'Hakuna mahali popote duniani ambapo tetemeko likitokea serikali inaanza kujenga nyumba za wananchi';-Rais Magufuli #ZiaraKAGERA
— millardayo (@millardayo) January 2, 2017
'Mimi ni mtoto wa maskini nimetoka kijijini ninajua shida wanayopata wakulima'-Rais Magufuli #ZiaraKAGERA pic.twitter.com/sF8IvKqz3W
— millardayo (@millardayo) January 2, 2017
'Kila mahali ambapo tumekuwa tukiona wanyonge wanaonewa serikali imekuwa ikiwatetea';-Rais Magufuli #ZiaraKAGERA
— millardayo (@millardayo) January 2, 2017
'Tumeamua kununua meli ktk ziwa Victoria, meli kubwa, tumeahidi miaka mingi, lazima tununue meli kubwa';-Rais Magufuli #ZiaraKAGERA
— millardayo (@millardayo) January 2, 2017
'Serikali tumeamua kununua ndege sita, mbili mmeshaziona, tulipozinunua na nauli ya ndege kutoka Bukoba-DSM imeshuka chini'-JPM #ZiaraKAGERA
— millardayo (@millardayo) January 2, 2017
'Ndege za kisasa ambazo tutazileta mwaka kesho hakuna shirika lingine la ndege Afrika ambalo limeleta ndege kama hizo'-JPM #ZiaraKAGERA
— millardayo (@millardayo) January 2, 2017
'Tunataka tutengeneze TZ mpya ili watu wawe wanakuja kufanya utalii, huwezi ukapata watalii wakati una ndege za kudandia-JPM #ZiaraKAGERA
— millardayo (@millardayo) January 2, 2017
'Maendeleo hayana chama, wote sisi ni Watanzania ndio maana hata tetemeko halikuangalia chama, ni lazima tushikamane wote'-JPM #ZiaraKAGERA
— millardayo (@millardayo) January 2, 2017
'Vijana wengi wanalia ajira kwa sababu hatuna viwanda' -Rais Magufuli #ZiaraKAGERA
— millardayo (@millardayo) January 2, 2017
'Kuipeleka nchi kwenye uchumi wa kati lazima kila mmoja afanye kazi, Serikali ifanye kazi na wananchi wake wafanye kazi'-JPM #ZiaraKAGERA
— millardayo (@millardayo) January 2, 2017
'Bei ya kahawa Uganda iko juu kuliko ya Bukoba wakati soko ni moja la ulaya nimeagiza zifutwe kodi za ovyo walizokuwa wanatozwa wakulima-JPM
— millardayo (@millardayo) January 2, 2017
'Mkulima wa kahawa alikuwa anatozwa kodi zaidi ya 30 kwa hiyo ukipeleka kawaha yako inakuwa na bei ya chini kwa sababu ya makodi'-JPM
— millardayo (@millardayo) January 2, 2017
Ma-RC, Ma-DC na Ma-DED kama mnafikiri kodi ni chache sana za kilimo na nyinyi nendeni mkalime mjue shida ya kulima'-JPM #ZiaraKAGERA
— millardayo (@millardayo) January 2, 2017
'Michango ya tetemeko la ardhi iliyoahidiwa na haijatolewa ni Bil 4.5, sitaki kuwataja hapa lakini wazilete hizo'- JPM #ZiaraKAGERA
— millardayo (@millardayo) January 2, 2017
'Kama unataka kuchangia tetemeko ili umchangie ndugu yako kwa ajili ya kumjengea nyumba, nenda moja kwa moja kwake usilete serikalini'-JPM
— millardayo (@millardayo) January 2, 2017
'Kamati ya maafa ya Kagera huu ni mwezi wa tano na inawezekana wanalipana posho, sasa nataka hii kamati iishe'-Rais Magufuli #ZiaraKAGERA
— millardayo (@millardayo) January 2, 2017
'Kamati ya maafa ya ofisi ya waziri mkuu ambao wanakaa DSM wahamie huku wasimamie michango inavyoenda kwenye shule'-JPM #ZiaraKAGERA
— millardayo (@millardayo) January 2, 2017
'Kwa sasa haya ya maafa yamekwisha mkuu wa mkoa kashughulikie wananchi wakafanye kazi'-Rais Magufuli #ZiaraKAGERA
— millardayo (@millardayo) January 2, 2017
AyoTVMAGAZETI: Kilichomponza bosi TANESCO, Vigogo Escrow waipa mtihani Korti ya mafisadi, Bonyeza play hapa chini
unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE