Kesi inayomkabili Isaac Abakuk ambaye alishitakiwa kumtukana Rais John Magufuli kwenye ukurasa wake wa facebook imesikilizwa leo June 08 2016 kwenye Mahakama Kuu kanda ya Arusha ambapo maamuzi yametolewa ambapo mshitakiwa ametakiwa kulipa millioni 7 au kutumikia kifungo cha miaka 3 gerezani.
Mshtakiwa amekiri kutenda kosa hilo ambapo mahakama imeamuru alipe fedha hizo kwa awamu mbili, katika awamu ya kwanza atalipa July 8 2016 sh mil 3.5 na August 8 2016 atalipa kiasi kilichobaki cha sh mil 3.5.
Hukumu ya kesi ya aliyemtukana Rais Magufuli facebook imetolewa, mshitakiwa ametakiwa kulipa mil 7 au kutumikia kifungo cha miaka mitatu
— millardayo (@millardayo) June 8, 2016
#UpdateTWO Mahakama imeamuru alipe kwa awamu mbili, July8 milioni 3.5 alafu August 8 amalizie milioni 3.5. #Arusha pic.twitter.com/BRVgQhDTdM
— millardayo (@millardayo) June 8, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA JUNE 08 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE