Taarifa Kwa Umma Kutoka Mahakama Kuu Tanzania Kuanzia Jumatatu Tarehe 20/4/2020 wadau wote wakiwemo wananchi wanaofika mahakamani kupata huduma wanatakiwa kuvaa Barakoa (MASK).