Waombolezaji wa msiba katika kijiji cha Shambarere, Jimbo la Kakamega nchini Kenya wameshuhudia kisa cha maiti ambayo ilitakiwa ikazikwe, lakini ikashindikana baada viungo vyake vya mkononi kukunja ngumi kwa madai ya kutaka kulipwa mahari yake.
Baada ya mazungumzo baina ya pande zote mbili kutoka kwa mume aitwaye Malimu na wazazi wa marehemu, zilidai maiti hiyo ilikuwa haijalipiwa pesa za mahari.
Kwa upande wa familia za mume huyo walikubali kulipa pesa ya mahari hiyo na baada ya hapo maiti ilikubali kukunjua mikono yake ambayo ilikuwa imekunja ngumi, kisha wazee kufanya maombi na mwili huo kuzikwa.
MNYIKA AANZA “IGP SIRRO ASEME UKWELI, TITO MAGOTI HAJULIKANI ALIPO AMETEKWA”