June 16 2016 Waziri mkuu Kassim Majaliwa amejibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa wabunge, moja ya swali alilolitolea maelezo ni pamoja na hili la mbunge wa Singida mjini Mussa Sima aliyetaka mbunge kuwa sehemu ya kamati ya ulinzi na usalama kama ilivyo kwa wakuu wa mikoa na wilaya.
‘Kamati za ulinzi na usalama za mikoa na wilaya na hufanya maamuzi dhidi ya wananchi, baadhi ya maamuzi hulalamikiwa. Je, serikali haioni imefika wakati wa tathmini wabunge awe miongoni mwa kamati ya ulinzi na usalama?‘ –Mussa Sima
‘KAMA MNATUKATA KODI MKATENI HADI RAIS’-MBUNGE HUSSEIN BASHE
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE