Viongozi wawili nchini Iran, Makamu wa Rais wa Iran anayeshughulikia wanawake na masuala ya familia, Masoumeh Ebtekar na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Usalama wa Taifa na Mambo ya Nje, Mojtaba Zolnour wote wamethibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona.
Idadi ya waliofariki mpaka sasa Iran imefikia Watu 26 huku walioathirika wakifikia 245.
Serial ya Iran imetangaza kufunga vyuo na shall zote pamoja na shughuli mbalimbali za kijamii hadi itakapotangazwa vinginevyo.
EXCLUSIVE: WAZAZI WANGU WAMENITENGA KISA WANANGU WALEMAVU, BABA ANATAKA KUNIFUNGA, NIMELETA NUKSI.