Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Makerere Uganda wameingia kwenye siku ya pili ya maandamano kwa madai ya kupewa muda mfupi wa kukamilisha kulipa ada za shule.
Maandamano ambayo yalianza jana ambapo siku ya mwisho ya kulipa ada hiyo ni February 17, hata hivyo wanafunzi hao walionekana kutoridhishwa na maamuzi hayo na kutaka kulipa kama walivyokuwa wakilipa siku za nyuma.
Bonyeza play hapa chini kusikiliza taarifa hiyo iliyoripotiwa na kituo cha WBS.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook