Mbunge wa Geita Joseph Musukuma ameshauri Wabunge wote kuungana kuishinikiza Serikali kutoa tamko la kuwarudisha kazini watumishi wote waliofukuzwa kazi kwa kigezo cha kuishia darasa la saba ikiwa wamezitumikia nafasi zao hizo kwa muda mrefu
Musukuma amesema…>>>“Hivi tunafanya mambo gani ya ajabu? Wabunge tuitake Serikali iwarudishe wafanyakazi waliofukuzwa kazi wakiwemo madereva walioishia darasa la saba. Kama Serikali itakaidi mimi nashauri kwakuwa hata humu Bungeni kuna Wabunge zaidi ya mia ambao ni darasa la saba na wengine walifeli kidato cha nne basi wote mtufukuze”
Alichozungumza mwanasheria wa Wambura baada ya kushindwa rufaa