Mariam Athanasi ambaye ni Mama wa Binti Salome aliyeuawa kwa kupigwa na Boss wake kisa elfu hamsini ameangua kilio katika eneo la kuhifadhia maiti Mount Meru baada ya kupata taarifa za kifo cha Mtoto wake huku akisema mwanaye hata mshahara alikuwa halipwi na alipowaambiwa wamlipe walikataa.