Ni tukio la kustaajabisha kwa kuwa hutosikia kutokea mara nyingi hii imetokea katika kijiji cha Ngemo Wilaya ya Mbogwe Mkoa wa Geita.
Leonard Morisha ni mtoto wa miaka 11 kuripotiwa kufufuka na kuonekana Kahama baada ya kufariki miaka minne iliyopita akiwa na umri wa miaka saba, na taarifa zake kuthibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita Henry Mwaibambe.