Leo September 1, 2020 nimeipitia Ilani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ambapo moja ya jambo ambalo nimeona nikusogezee ni mambo ambayo Serikali ya CHADEMA itafanya ndani ya siku 100 za kwanza chini ya Tundu Lissu ikitokea wakishinda Uchaguzi wa October.
RAIS MAGUFULI “KUNA MGOMBEA ANATOKEA SINGIDA, SIO LAZIMA WOTE TUWE RAIS, TUTAMPA KAZI INGINE”