Israel inashuhudia ongezeko la raia wake wanaonunua bunduki kwa ajili ya kujilinda huku vita kati ya Israel na Hamas vikiendelea.
‘Ongezeko la wanunuzi wa bunduki limebadilika sana tangu uvamizi wa Hamas wa Oktoba 7, kulingana na taarifa kwa vyombo vya habari kutoka Wizara ya Usalama wa Taifa.
Zaidi ya maombi 236,000 mapya ya vibali yamewasilishwa tangu shambulio hilo.
Karibu vibali 1,700 vinatolewa kila siku baada ya Wizara ya Usalama wa Kitaifa kupunguza vizuizi, ripoti hiyo ilisema.