Wizara ya Maliasili na Utalii imezindua maandalizi ya maonesho ya utalii ya kimataifa na makubwa yatakayofanyika Mwanza mwezi june 2020, maonesho yanaandaliwa na Mikoa ya Kanda ya Ziwa pamoja na Mkoa wa Tabora na Kigoma kwa lengo la kutangaza vivutio vilivyopo kwenye mikoa hiyo.