Viongozi wa mataifa ya Magharibi na taasisi za Kimataifa wamekemea vikali mashambulizi dhidi ya Ukraine na kuahidi kuiwajibisha Urusi.
Mara baada ya kuripotiwa taarifa ya milipuko katika miji mbalimbali ya Ukraine, Rais wa Marekani Joe amemshutumu Rais wa Urusi Vladimir Putin kwa kusema “Urusi pekee itawajibika kwa vifo na uharibifu utakaotakana na mashambulizi, Marekani na washirika watajibu kwa njia stahiki, dunia itaiwajibisha Urusi”.
VITA VIMEANZA: URUSI YAFANYA MASHAMBULIZI UKRAINE, PAPA FRANCIS AINGILIA KATI “TUTALIPA KISASI”