Kama kawaida nijukumu langu kuhakikisha nakusogezea kila tukio linalo nifikia, hapa nimekukusanyia post 5 kutoka kwa mastaa mbalimbali Bongo kupitia account zao kwenye mitandao ya kijamii leo Dec 6, 2015.
1.Zitto Kabwe (Twitter)
“Utafiti wetu unaonyesha shs bilioni 900 zimepotea katika kipindi cha mwaka mmoja wa fedha, sawa na 15% ya mapato ya forodha”
Our research shows tshs 900 billions were lost in one financial year, 15% of the potential customs revenues pic.twitter.com/vlcoawj5Ki
— Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) December 6, 2015
2.Edo Kumwembe (Instagram)
“Ushindi kwa Chelsea unakuwa kama mshahara siku hizi… unakuja mara moja kwa mwezi… Heheheeee”
3.Stan Bakora (Instagram) “Aya wale watoto wa mbwa wenzngu,mnakumbuka hii kitu mkesha wa mwaka mpya ilikuwaga na matumizi gan??”
Aya wale watoto wa mbwa wenzngu,mnakumbuka hii kitu mkesha wa mwaka mpya ilikuwaga na matumizi gan?? A photo posted by Stan Bakora (@stanbakora) on
4.Nay wa mitego (Instagram) “Kwenye intrvw na@millardayo shukrani Patna kwa intrvw nzuri, japo maswali mengine yalikua????????.. #NyumbaniKwetu“
Kwenye intrvw na @millardayo shukrani Patna kwa intrvw nzuri, japo maswali mengine yalikua????????.. #NyumbaniKwetu A photo posted by NayTrueboy (@naytrueboy) on
5.Linex Sunday Mjeda (Instagram) “Kina naniliuuuu mpooooo??? Au niwafanyie ukarimani ???????????????? wenzangu na mie ambao hamjui kupanga matrei ????”
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.